Kwa mujibu wa Shirika la Habari la Hawza, Matembezi hayo yalifanyika kwa utaratibu na amani huku yakidhihirisha mshikamano kwa waumini katika kuenzi misingi ya Ashura. Washiriki walitembea huku wakiimba nyimbo za maombolezo, pamoja na kubeba mabango yaliyobeba ujumbe wa kusimamia haki, kupinga dhuluma na kuhamasisha amani katika jamii.
Wakati wa shughuli hiyo, viongozi wa dini walieleza kuwa tukio la Karbala linaendelea kuwa somo la kudumu kwa Waislamu na wanadamu wote, likiwafundisha kuthamini uadilifu, kujitolea kwa ajili ya ukweli na kutoyumba mbele ya shinikizo la batili.
![]() |
![]() |
![]() |
![]() |
![]() |
![]() |
![]() |
![]() |
![]() |
![]() |
![]() |
![]() |










Maoni yako